Home

 

CLICK HERE  TO APPLY ONLINE

Chuo cha Mafunzo kigoma(Kigoma Training College) kinapenda kuujulisha  umma kuwa Udahili  wa Wanafunzi kwa mwaka 2018/2019 kwa Ngazi ya  Diploma na Cheti katika Fani ya  Uuguzi( Nursing) umefunguliwa kwa muhula wa mwezi wa Tisa.

 

Chuo cha mafunzo KIGOMA kinapenda kuujulisha uma kuwa dirisha la udahili  wa wanafunzi kwa mwaka 2018/2019 limefunguliwa kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa kozi zifuatazo

  1.          Diploma in Social Work 

  2.         Certificate in Social Work

  3.         Certificate in Primary  Education

  4.         Certificate in Community Development

  5.       Diploma in  Community Development
  6.       Diploma in Law
  7.        Certificate in Law

kwamaelezo zaidi piga simu +255759645657/ 06879988494/0658406587au Fika chuoni  Downloads APPLICATION FORM  kwamaelezo zaidi